Watoto watatu ambao ni Majeruhi wa
ajali ya basi la Wanafunzi iliyoua 32 Karatu Arusha wamesafirishwa
kwenda Marekani kwa matibabu baada ya kuchukuliwa na Ndege Maalum ya
Marekani iliyotolewa bure na mfuko Msamaria (SAMARITAN’S PURSE), hapa chini ni picha na video
Post a Comment