Mabulungutu ya Noti Yamwagwa Kaburini mwa Ivan
Msiba huo, umehudhuriwa na maelfu ya watu nchini humo wakiomboleza kifo cha Ivan Semwanga, wakati matajiri wakubwa na watu maarufu katika jiji la Kampala, wakiitumia fursa hiyo kujitokeza na kuonyesha magari yao ya bei mbaya
Katika hali isiyo ya kawaida, mabulungutu ya noti yamemwagwa kwenye kaburi ya Ivan kabla ya kuzikwa ambapo matajiri wenzake walifika kaburini hapo na kuanza kutupia mabulungutu hayo ya noti kaburini muda mfupi kabla ya mazishi kuanza.
Katika ujumbe wa maandishi waliokuwa nao watoto wa marehemu wamesema;
“Dad, so many thoughts come to our mind whenever we speak of your name; it seems without you in our lives things will never be the same. We think of the good old days when we were still so little; consumed in your love, and in your smile.”

Post a Comment