Video: Wakili Tundu Lissu alivyozuia Polisi kumkamata mteja wake
Mbunge wa Singida Mashariki, Lissu alizuia Polisi kumkamatwa Selemani Said Nassoro aliyekuwa akishtakiwa kwa kosa la uhalifu wa mitandao mahakamani hapo.
Tundu Lissu alizuia kukamatwa kwa mteja wake kwani tayari mahakama ilishamfutia mashtaka hayo, na hivyo sheria hairusu mtu kukamatwa akiwa mahakamani isipokuwa kwa kosa lile lile analoshtakiwa nalo.
Hapa chini ni video ya Tundu Lissu akizozana na Polisi kuhusu mteja huyo;
Post a Comment