BILA ZLATAN, RASHFORD, MARTIAL MAN UNITED YATUA LONDON KWA TRENI KUWAVAA CHELSEA
Man United inaivaa Chelsea katika mechi ya robo fainali ya FA Cup kwenye Uwanja wa Stamford Bridge jijini London, leo.
Tayari Man United wametua London kwa usafiri wa treni tayari kwa mechi hiyo inayosubiriwa kwa hamu kubwa.
Katika
mechi hiyo, Man United itawakosa Zlatan Ibrahimovic mwenye adhabu ya
kufungiwa mechi tatu, Marcus Rashford na Anthony Martial.
Post a Comment