Mbowe Kuendelea Kutokamatwa na Polisi Wala Kuwekwa Kizuizini

Mwanasheria
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu ameongea na
waandishi wa habari jana jioni baada ya kutoka Mahakamani kwenye kesi
iliyofunguliwa na Freeman Mbowe dhidi ya Mkuu wa Mkoa w Dar Paul
Makonda na Kamshna Sirro.
Lissu
amesema Amri ya kuzuia Freeman Mbowe asikamatwe na wala kuwekwa
kizuizini na Polisi inaendelea isipokua wanaweza kumuita kwa Mahojiano
ambapo pia Mahakama itatoa maamuzi Tarehe 2, March 2017
Post a Comment