Lulu Avaa Viatu vya Paula wa Kajala

Elizabeth Michael, ‘Lulu’
STAA wa Filamu nchini Elizabeth Michael, ‘Lulu’ wiki hii
yamemfika yale yaliyomfika mtoto wa Mbongo Muvi, Kajala Masanja, Paula
Paul.
Paula na mama yake Kajala Masanja.
Lulu amekosa kwa kuiweka sura yake baada
kuvuja kwa video ikimuonyesha mwanamke kama yeye akifanya ufuska na
njemba moja katika mazingira tatanishi kama gesti za watu wa hali ya
chini kitu ambacho ni tofauti na hadhi ya Lulu kwa sasa.
Taarifa za awali na ambazo bado hazijathibitishwa zinasema kwamba kijana huyo ni mtaalamu wa masuala ya mitandao na alimrekodi binti huyo anayefananishwa na Lulu bila ya yeye kujua.
Taarifa za awali na ambazo bado hazijathibitishwa zinasema kwamba kijana huyo ni mtaalamu wa masuala ya mitandao na alimrekodi binti huyo anayefananishwa na Lulu bila ya yeye kujua.
Salum Milongo/GPL

Post a Comment