KAULI ZA STEVE NYERERE KUHUSU SAKATA LA WEMA SEPETU NA MAMA SEPETU
"Kulikuwa na maongezi ya simu kati ya mimi na mama Sepetu, mimi ndio nilikuwa naongea na mama Sepetu yasipindishwe"
"Kwenye kampeni tulilipwa hakuna aliyefanya kazi bila kulipwa, kundi la mama ongea na mwanao mimi ndio nilikuwa mwenyekiti."
"Uwezo wa kuwaambia Wabunge au kuwaelekeza cha kufanya sina, sina ujanja huo.... namuomba radhi Spika Job Ndugai."
"Ninaimani aliyelipwa fedha nyingi kwenye mama ongea na mwanao ni dada 'Wema' hakuna msanii hata mmoja anayeidai CCM."
"Ile audio imekuja kuachiwa juzi wakati watu wanahama chama, kwanini nirekodiwe? naamini wamefanya hivyo makusudi."
"Namuomba radhi Rais Magufuli na Chama changu cha CCM, yanaongelewa mengi ninayasikia, naomba radhi familia pia, niliteleza."
"Nimetaja viongozi ktk ile audio alafu unakuja kuisambaza nimetaja viongozi wa Nchi, Mama alichofanya kuisambaza ni mauaji."
"Watanzania wenzangu usimuamini binadamu yeyote, Mama Wema alitaka kuniharibia maisha yangu, Mama kanikosea.. namuachia Mungu."
"Nina miaka 25 kwenye sanaa, leo mtu anatoa vitu ambavyo tulikuwa tunaongea kwa ajili ya mwanae, alitaka kuniharibia maisha yangu."

Post a Comment