UONGOZI WA YANGA WAMLILIA AMINA ATHUMANI, MWANDISHI ALIYEKUWA KATIKA MICHUANO YA MAPINDUZI
TANZIA:
Uongozi
wa klabu ya soka ya Yanga umepokea kwa mbadiliko kifo cha kuumiza cha
Mwandishi wake habari za michezo wa Gazeti la Uhuru Bi, Amina Athumani
kilichotokea uko Zanzibar.
Marehemu
Amina amefariki akiwa ametoka kutekeleza majukumu yake ya kazi kwenye
michuano ya kombe la Mapinduzi uko visiwani Zanzibar.
Amina
licha ya kuwa mwandishi wa habari za michezo lakini pia Alikuwa
mwanachama Wa YANGA tawi la WhatsApp SUPPORTERS MAKAO MKUU.
Uongozi
unaungana na familia ya marehemu, ndugu jamaa pamoja na tasnia nzima ya
waandishi was habari nchini katika kuomboleza kifo chake.
Innaa Lillaahi wa innaa Ilayhi raaji'uun.
Imetolewa na Idara ya Habari na Mawasiliano Yanga Makao Makuu.
15/01/2017
Post a Comment