Magari zaidi ya mawili likiwepo basi la New Force yamegongana leo asubuhi jijini Mbeya
Ajali
ya barabarani imetokea leo asubuhi eneo la Igurusi mkoani Mbeya ikiwa
imehusisha basi la abiria mali ya Kampuni ya New Force, malori mawili ya
mizigo na gari jingine dogo.Basi hilo la abiria hufanya safari zake
kati ta Tunduma na Dar es Salaam.
Jeshi la Polisi bado halijatoa taarifa kuhusu chanzo cha ajali hiyo na kama kuna watu waliofariki kutokana na ajal hiyo.








Post a Comment