Tecno Hawa Hapa Tena….Uko Tayari Kwa Jambo Kubwa?
Kampuni
inayoongozwa kwa kuuza simu bora na imara kwa bei nafuu, Tecno kila
siku wanaumiza vichwa kuhakikisha kwamba una sababu kibao za kuendelea
kufurahia bidhaa za huduma zao.
Baada ya kukuletea simu kali mbili zilizotoka kwa mpigo, Phantom 6 na Phantom 6 Plus ambazo zimekuja kuteka soko la simu zikiwa na prosesa kali, kuchaji kwa haraka na moja ikiwa na Kamera mbili.
Baada ya kukuletea simu kali mbili zilizotoka kwa mpigo, Phantom 6 na Phantom 6 Plus ambazo zimekuja kuteka soko la simu zikiwa na prosesa kali, kuchaji kwa haraka na moja ikiwa na Kamera mbili.
Sasa
Tecno wanachokuletea kingine kipya cha aina yake, tetesi zilizopo ni
kwamba hili ni dili litakalowawezesha wateja wake kukwea pipa kwenda
majuu.
Kwenye
soka kuna nyakati mbili, kuna msimu wa mpira na wakati wa kusubiri
msimu wa mpira. JE, UKO TAYARI KWA JAMBO KUBWA KUTOKA TECNO?
#TheNextBigThing
Endelea
kutembelea mitandao ya kijamii ya Tecno Mobile Tanzania kufahamu jambo
hili kubwa ambalo linakujia ndani ya siku chache zijazo.
Twitter: https://twitter.com/TECNOMobileTZ
Post a Comment