LIVE: Matokeo ya uchaguzi Nchini Marekani yanaendelea kutolewa ....Trump Anaongoza Kwa Wingi wa Kura
Mgombea
wa Republican, Donald Trump ameonekana kuongoza kwa mbali katika
uchaguzi wa Urais wa Marekani unaoendelea huku majimbo muhimu yakiwa
yameshapiga kura.
Hillary
Clinton alianza vizuri katika uchaguzi huo akiongoza lakini mambo
yamebadilika na ndoto yake ya kuwa Rais wa kwanza mwanamke wa taifa
kubwa zaidi duniani imeanza kufifia.
Trump
ameshinda majimbo muhimu yakiwemo Ohio, Carolina Kaskazini na Florida,
na sasa yamebaki majimbo 270 ya uchaguzi (electoral votes) na ana nafasi
kubwa ya kuingia Ikulu.
Hadi saa tatu usubuhi hii, Trump anaongoza kwa 244 dhidi ya 215 ya Clinton, na anasubiri kupata point 26 kufikisha 270 ambazo zitampa uhakika wa kuwa Rais mpya wa Marekani.

Post a Comment