TASWIRA ZA ANDRES INIESTA, GERARD PIQUE WAKISOTA NA MAJERAHA, WAENDELEA KUPIGA KAZI NYINGINE ZA KLABU
Gerard
Pique na Andres Iniesta ni majeruhi na hawataitumikia Barcelona katika
mechi zijazo kwa kipindi kadhaa, lakini wameendelea na kazi nyingine.
Iniesta
aliyeumia katika mechi dhidi ya Valencia na Pique aliyeumizwa na David
Silva wa Man City, wameendelea kufanya kazi za matangazo ya magari ya
Audi.
Hii inaonyesha klabu hizo zilivyo busy na makini na zinaendelea kuingiza fedha kupitia wachezaji hao hats kama hawachezi.
Wachezaji hao walijumuika na Lionel Messi kwa ajili ya utengenezaji wa tangazo la magari ya Audi.
Post a Comment