Sababu inayokufanya uwe na uchovu kila wakati
Uchovu wa mara kwa mara na kuchoka, huweza kusababishwa na zaidi ya usingizi. Au unafikiri upo ulivyo kwa sababu nyingine?
Kutopata
usingizi wa kutosha ni moja ya sababu inayoweza changia uchovu, ila uchovu wa
mara kwa mara na kujiona umetumika
ilhali umepata usingizi wa kutosha inakera. , hii imekuwa ni hali ya
kawaida kwa wengi wetu , ila sio hali ya kawaida, na kwsababu kadhaa au pengine
za kihisia.
Matibabu
Kupuuzia
maumivu au dalili za maradhi ni kitu
kibaya, kwani yaweza kuwa ni dalili ya ugonjwa, upungufu wa damu au tezi,
yaweza kuwa tatizo la kawaida , ila uchovu ni moja ya dalili ya baadhi ya
magojwa mengine, kama kisukari. kama umekuwa
ukijsikia uchovu kwa zaidi ya wiki mbili, nenda kamuone daktari kwa ajili ya
chekap, kama hamna la zaidi tuliza mwili na
akili yako
Mpangilio wa chakula
Chakula ni mafuta ya miili yetu kwa hiyo kama hatupati chakula cha
kutosha, nguvu ya miili yetu hupungua, ila inaweza sababishwa na kitu chocote, yaweza kuwa diet ya kupitiliza, au kula
vyakula ambavyo havitukubali., ila umeshindwa kuvishtukia, kama unataka
kupunguza uzito, hakiksha unafanya hivyo kwa taratibu, kiafya , weak kumbukumbu
ya chakula unavyokula ambayo utamuonesha daktari wako, hii yaweza saidia
kutambua kama kuna vyakula vinavyo kudhuru.
Uzito wako
Kama una uzito mkubwa, hii
yaweza changia uchovu wa mara kwa mara,
kwa sababu mwili wako, utahitaji kutumia nguvu ya ziada, kuuhimili.hupelekea
uzito wa ziada kwenye viungo vyako, moyo na mapafu, na kuwa na uzito mkubwa
napo huumanisha misuli yako inakazi ya ziada
Mashaka na msongo wa mawazo
Usingizi unachangiwa kwa kiasi kikubwa na afya ya aklii, mashaka,
na mishipa ya fahamu yaweza changia kukosa usingizi insomnia, kitu ambacho
baada ya muda, yaweza kuwa sugu na kukuwacha mwenye kudhoofika. kama una msongo wa mawazo kujikuta ni mwenye kulala kila
waakati, napo ukaendelea kuwa mwenye uchovu mwenye kuw a hali hii ikijitokeza kwa muda
mrefu basi ni busara kuomba msaada
Tungi
Pombe yaweza saidia kupata usingizi, ila ni mbaya kutumia kama
chanzo cha kupatia usingizi, haitatui
mzizi wa chanzao wa tatizo lenyewe., vile vile pombe za kupitiliza yaweza kupelekea kushtuka katikati ya usiku
wa manane, na hatimaye kuwa na usingizi wa mashaka na watabu, kwa hiyo kunywa
mara tu kabla ya kulala ni mbaya kiafya
Maji
Ni Moja ya sababu inayowapeleka wanawake wengi kujikuta
wakipigana na uchovu. jaribu kunywa maji megni unapoamka, japo glasi mbili kila
unapopata msosi, yaweza kuleta utofauti, pata chai na juice katika kila hatua
ya siku yako, hii itakuongezea kiwango cha nguvu zako
Post a Comment