Mmiliki wa Mtandao wa Wikileaks afariki Dunia
Mwanzilishi wa mtandao maarufu wa Wikileaks, Gavin MacFadyen (76) amekutwa amefariki Jumamosi ambapo chanzo cha kifo chake bado hakijajulikana.
Mtandao wa Wikileaks umekuwa ukiibua mambo mbalimbali ya siri ya mgombea urais wa Marekani, Hillary Clinton.
Wengi hawajayaamini kifo chake ambacho kimewastua na kuumiza mioyo ya watu wengi hasa pale wanapomkumbuka marehemu kama mwanzilishi wa kituo cha habari za uchunguzi (Centre for Investigative Journalism) mwaka 2003 ambapo wanahabari wengi wakubwa duniani wamejifunza hapo.
Gavin Macfadyen, beloved director of WikiLeaks, now takes his fists and his fight to battle God. Sock it to him, forever, Gavin. -JA pic.twitter.com/7zyzs1Qxxk— WikiLeaks (@wikileaks) October 23, 2016

Post a Comment