Liverpool 0-0 Manchester United
Ilikuwa
mechi nzuri, Liverpool wakionyesha kushika vizuri umiliki wa mpira
lakini Manchester United wakawa na mashambulizi machache na ya uhakika.
Pia Man United, mara kadhaa walitumia ujanja wa kuipoza kasi ya Liverpool huku wakionekana kupoteza muda, jambo ambalo lilikuwa likiwaudhi na hata kuwatoa mchezoni wachezaji wa Liverpool ambao walikuwa wamepania kushinda.

Mgawanyiko
wa takwimu, kila upande ukichukua kipande fulani, hivyo kuufanya uwe
mchezo mzuri na wa kuvutia lakini ambao umemalizika bila ya uhondo wa
mabao.
Liverpool starting XI:
Karius, Clyne, Matip, Lovren, Milner, Can, Henderson, Coutinho, Mane, Sturridge (Lallana), Firmino
Liverpool subs: Grujic, Klavan, Moreno, Lucas, Mignolet, Origi
Manchester United starting XI:
De Gea, Valencia, Bailly, Smalling, Blind, Fellaini, Pogba, Rashford (Rooney), Ander Herrera, Young, Ibrahimovic
Man Utd subs: Rojo, Mata, Lingard, Carrick, Romero, Shaw
Post a Comment