Ndege Ya Pili Ya Serikali Yawasili Dar
Ndege ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali kwa ajili ya
Shirika la Ndege la Taifa (ATCL) ikitua katika uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017
ikitokea Canada ilikotengenezwa. Sherehe za uzinduzi rasmi wa ndege hizo
umepangwa kufanyika kesho Jumatano Septemba 28, 2016 hapo hapo
uwanjani.
Ndege ya pili ya Bombadier
Q400 iliyonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Taifa
(ATCL) ikipata Saluti ya maji (Water Canon Salutation) mara tu baada ya
kutua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar
es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa. Sherehe
za uzinduzi rasmi wa ndege hizo umepangwa kuganyika kesho Jumatano
Septemba 28, 2016 hapo hapo uwanjani.
Ndege
ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali kwa ajili ya
Shirika la Ndege la Taifa (ATCL) ikiegeshwa karibu na pacha wake
iliyofika wiki moja uliopita katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea
Canada ilikotengenezwa. Sherehe za uzinduzi rasmi wa ndege hizo
umepangwa kuganyika kesho Jumatano Septemba 28, 2016 hapo hapo uwanjani.
Katibu
Mkuu Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho na viongozi wengine wakielekea
kwenye Ndege ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali kwa
ajili ya Shirika la Ndege la Taifa (ATCL) ilipowasili katika uwanja wa
ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba
27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa. Sherehe za uzinduzi rasmi wa
ndege hizo umepangwa kuganyika kesho Jumatano Septemba 28, 2016 hapo
hapo uwanjani.
Katibu
Mkuu Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho akisalimiana na nahoda wa John
Kuipers aliyeeendesha Ndege ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na
serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Taifa (ATCL) na kuiwasilisha
salama katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar
es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa. Sherehe
za uzinduzi rasmi wa ndege hizo umepangwa kuganyika kesho Jumatano Septemba 28, 2016 hapo hapo uwanjani.
Katibu
Mkuu Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho akikagua Ndege ya pili ya
Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege
la Taifa (ATCL) mara ilipotua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea
Canada ilikotengenezwa.
Katibu
Mkuu Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho akiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa
ATCL Mhandisi Ladislaus Matindi pamoja na maafisa wengine wakiwa katika
Ndege ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali kwa ajili ya
Shirika la Ndege la Taifa (ATCL) mara ilipotua katika uwanja wa ndege
wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27,
2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa.
Katibu
Mkuu Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho na Afisa Mtendaji Mkuu wa ATCL
Mhandisi Ladislaus Matindi wakitelemka baada ya kuikagua Ndege ya pili
ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la
Ndege la Taifa (ATCL) mara ilipotua katika uwanja wa ndege wa kimataifa
wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea
Canada ilikotengenezwa.
Katibu
Mkuu Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho akimpa pongezi nahoda wa John
Kuipers aliyeendesha aliyeendesha Ndege ya pili ya Bombadier Q400
iliyonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Taifa (ATCL)
mara ilipotua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere
jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada
ilikotengenezwa.
Nahoda
John Kuipers na Nahodha Owen Davies walioendesha Ndege ya pili ya
Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege
la Taifa (ATCL) wakifurahia mara baada ya kutua katika uwanja wa ndege
wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27,
2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa.
PICHA NA IKULU



Post a Comment