A-Z VIDEO HARUSI YA SHAMSA FORD...Hayawi hayawi, Shamsa Ford aolewa
Shamsa akiwa na mume wake, Rashidi Said aka Chidi Mapenzi
Malkia wa filamu, Shamsa Ford amefunga ndoa Ijumaa hii na mfanyabiashara wa maduka ya nguo Rashidi Saidi aka Chidi Mapenzi.
Shughuli hiyo imefanyika Sinza Africasana nyumbani kwa wazazi wa Shamsa Ford na kuhudhuriwa na ndugu jamaa pamoja na wasanii filamu. Angalia picha za ndoa.

Shamsa na mume wake wakisaini cheti cha ndoa

Shamsa akizungumza baada ya kufunga ndoa

Baadhi ya watu waliojitokeza


Bi Shamsa akionyesha jinsi alivyorembwa na kurembeka


























Post a Comment