Video: Mpenzi mpya wa Shamsa Ford alivyojitambulisha kwenye Birthday Party
Usiku wa July 31, 2016 Msanii kutoka
kiwanda cha bongo movie Shamsa Ford alifanya Birthday Party yake kwenye
ukumbi wa Bilicanas Dar es salaam, Birthday Party hiyo
iliyohudhuriwa na mashabiki na kumtambulisha mpenzi wake mpya kwenye
tukio la kulishana keki, Mtu wangu usisahau kuniachia comment yako hapa
mkali huyu ataziona.

Post a Comment