JUMLA WAMENUNULIWA KWA PAUNI MILIONI 200, LAKINI KILA MMOJA ANA HOFU YA KUUZWA!
Katika soka, hata kama utanunuliwa kwa bei ghali, mwisho kocha ndiye anakuwa na uamuzi wa nini cha kufanya.
Kama
ambavyo inaonekana hapa hawa wafuatao, wana hofu ya kuuzwa licha ya bei
kubwa waliyonunuliwa. Huenda wakawa hawataki, lakini makocha ndiyo
wanakuwa waamuzi wa mwisho.
BEI WALIZONUNULIWA:
Joe Hart - Manchester City - alisainiwa kwa£100,000
Eliaquim Mangala - Manchester City -alisainiwa kwar £31.8million
Mamadou Sakho - Liverpool - alisainiwa kwa £18million
Lamine Kone - Sunderland - alisainiwa kwa £6million
Juan Cuadrado - Chelsea - alisainiwa kwa £27million
Yaya Toure - Manchester City - alisainiwa kwa £24million
Bastian Schweinsteiger - Manchester United - alisainiwa kwa£14million
Samir Nasri - Manchester City - alisainiwa kwa £25million
Mario Balotelli - Liverpool - alisainiwa kwa £16million
Wilfried Bony - Manchester City - alisainiwa kwa £28million
Loic Remy - Chelsea - alisainiwa kwa £10.5million
Post a Comment