Jenerali Ulimwengu Apata Ajali ya Gari, Akimbizwa Moi
Taarifa iliyotufikia inaeleza kuwa, Mwandishi Mkongwe nchini na
Mwenyekiti wa Bodi ya Gazeti la Raia Mwema, Jenerali Ulimwengu amepata
ajali mapema asubuhi ya leo, na kupelekwa hospitali ya Taifa ya
Muhimbili kitengo cha mifupa Moi kwa matibabu. Ajali hiyo imehusisha
gari alilokuwa akiendesha yeye aina ya Benz na gari nyingine iliyoigonga
gari hiyo upande wa Ubavuni.

Post a Comment