GARRY LINEKER ATANGAZA KIPINDI AKIWA NA NGUO YA NDANI KUTIMIZA AHADI YAKE YA LEICESTER
Nyota wa zamani wa Gary Lineker jana ameendesha kipindi akiwa amevaa nguo ya ndani.
Nyota
huyo alifanya hivyo kutimiza ahadi yake ya kufanya hivyo kwa kuwa
aliahidi angeweza kufanya hivyo kama Leicester City ingetwaa ubingwa wa
Ligi Kuu England.
Lineker alifanya hivyo huku watangazaji wenzake ambao ni magwiji wa zamani pia, Ian Wright na Alan Shearer wakicheka lie mbaya.
Lineker
alikuwa haamini kama Leicester ingebeba ubingwa wa England. Mwisho
ikachukua ubingwa naye ndiyo hivyo, ametimiza ahadi tena nguo yake ya
ndani ikiwa na nembo ya Leicester.
Post a Comment