TECNO CAMON C9 YAINGIA SOKONI KWA KISHINDO
Simu kali ya TecnoCamon C9 yenyeuwezowahaliyajuukatikakupigapichaikiwana Camera mbili (Mbelenanyuma) za Megapixel 13, uwezowa 4G LTE nateknolojiambalimbalizakisasaimeingiarasmisokoni. Simuhiinimiongonikwasimuzakisasakuingizwanchini, nainapatikanakwabeiyakawaidaya Tsh.400,000 Watejawamefurikakwawingidukaniilikujipatiasimuhiimpyaambayoinasifakedekedeiwenikwa wale wanaopendaselfie au wale wenyeuhitajiwasimuyenyeuwezowakufanya mambo mengikwawakatimmoja. KwenyePicha: WatejawakipataufafanuzikuhusuCamon C9 katikaduka la Tecnokablayakujipatia C9
WatejawalipatabahatiyakushindazawadimbalimbalikufuatiadrooiliyochezeshakatikaofisizaTecno.Watejawengiwaliwezakujishindiazawadizikiwemo Microwave, feni, subwoofer hukuzawadikubwakabisaikiwani TV yanchi 43.
BaadhiyasifazaCamonC9 inayouzwakatikamadukaya Tecno ikiwakatikarangi 3 tofautinihizi; Camera yahaliyajuu Kama mpenziwapichaCamon C9 imekupa Camera unaihitajikwaniinawezakutambuasuranakupiga selfie kali hataukiwagizani.Pia Camera yakeinaurembowakweli (make-up) ambayoitafanyapichazakokuwanamvutowaasili. PiaTecno Camon C9 itaondoa issue za selfie kutokuwakatikwakutumiacamera iliyokatikatiyasimuambayoinaitwa ‘The Perfect Selfie camera’. SimuhiyoyaCamon C9 inakujanakifurushi cha 10GB kutoka Vodacom Tanzania ambaohivikaribuniwameboreshamtandaowa 3G nchinzimanakuzindua 4G kwamaeneoya Dar es Salaam.
KwenyePicha: Mmojawawatejawa kwanza kununua Tecno CamonC9 akikabidhiwazawadiya Subwoofer baadayadrookuchezeshwa.
Watuwengindaniya selfie moja TecnoCamon C9 inauwezowakujazawatuwengikwenye selfie mojakulikosimuyoyoteduniani. Camera ya C9 inachukua angle kubwazaidihivyokukuwezeshakupataselfie nzurihivyokuchukuawatuwengizaidi. Simuhiiinapatikanakatika Exclusive Showroom yetuiliyokaribuyako • Mbeya - Boaz Mwakyama • Mwanza - Nyerere Road Round About PambaMwanza • Arusha - Block H , Area F - Makongoro Street • Dar Es Salaam - City Mall, iliyopokonayaBibiTiti, Morogoro Road.. Unawezakutembeleakurasazamitandaoyakijamiiya Tecno kujuazaidi. • Facebook:https://www.facebook.com/TECNOMobileTanzania • Instagram:https://www.instagram.com/tecnomobiletanzania • Twitter: https://twitter.com/TECNOMobileTZ
Post a Comment