MSAFARA wa watu 30 wa Yanga SC, wakiwemo wachezaji 20 wameondoka leo Jumamosi kwenda Ghana tayari kwa mchezo wa marudiano Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji Medeama wiki ijayo. (PICHA: RICHARD BUKOS/GPL)
Post a Comment