MAN UNITED YAWATULIZA GALATASARAY 4-2, ZLATAN AFANYA YAKE APIGA BONGE LA BAO
Unaweza
kutamka vyovyote, lakini Zlatan Ibrahimovich au Ibra Kadabra ni mtu
hatari sana. Kwani ndani ya dakika 3 tu baada ya kuingia uwanjani
ameifungia Man United bonge la bao kwa ile staiki ya “Kiki ya Baiskeli”.
Mechi hiyo ilipigwa kwenye Uwanja wa Ulevi jijini Stockholm, Sweden na huu ni uwanja ambao Zlatan ameuzoea kwelikweli.
Zlatan amefunga bao na kuisaidia Man United kushinda kwa mabao 4-2 katika mechi ya kirafiki kujiandaa na msimu mpya dhidi ya Galatasaray ya Uturuki.
Zlatan amefunga bao na kuisaidia Man United kushinda kwa mabao 4-2 katika mechi ya kirafiki kujiandaa na msimu mpya dhidi ya Galatasaray ya Uturuki.
Mkali
huyo raia wa Sweden mwenye asili ya Yugoslavia, amejiunga na timu hiyo
akiwa mchezaji huru baada ya mkataba wake na PSG kufikia kikomo.
VIKOSI
MAN UNITED:
De Gea; Valencia, Bailly, Blind, Shaw; Schneiderlin, Herrera; Mkhitaryan, Rooney, Martial; Ibrahimovic.
Substitutes: Johnstone, Romero, Darmian, Jones, Rojo, Carrick, Fellaini, Lingard, Mata, Memphis, Young, Rashford.
Substitutes: Johnstone, Romero, Darmian, Jones, Rojo, Carrick, Fellaini, Lingard, Mata, Memphis, Young, Rashford.
GALATASARAY:
Muslera; Linnes, Chedjou, Hakan, Carole, Selçuk, Dzemaili, Yasin, Sneijder, Bruma, Sinan.
Substitutes: Gonen, Aziz, Altintop, Donk, Bassan, Dursun, Unsal, Sarioglu, Iscan, Guney, Vatansever.
Substitutes: Gonen, Aziz, Altintop, Donk, Bassan, Dursun, Unsal, Sarioglu, Iscan, Guney, Vatansever.
Post a Comment