BREAKING NEWS: ASKARI ALIYEMUUA MWANAHABARI MWANGOSI AFUNGWA JELA MIAKA 15
MAHAKAMA kuu ya Tanzania kanda ya Iringa leo imemuhukumu kwenda jela miaka 15 kwa kosa la mauaji ya bila kukusudia askari wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) mwenye namba G .2573 Pacificius Cleophace Simon (27) aliyemuua mwandishi wa habari wa kituo cha Chanel Ten Daudi Mwangosi .
Chanzo: www.matukiodaima.co.tz
Chanzo: www.matukiodaima.co.tz

Post a Comment