RAIS KENYATTA AKUTANA NA RAILA ODINGA KATIKA IKULU YA NAIROBI
Rais wa
Jahuri ya Kenya Mh. Uhuru Kenyatta akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu
wa Kenya Mh Raila Odinga wakati alipomkaribisha Ikulu kwa Chakula cha
Mchana na Mazungumzo katika Ikulu ya Nairobi kwa mwaliko wa Ikulu ambapo
viongozi wa Chama cha CORD walialikwa kwa ajili ya maadhimisho ya
sherehe za siku ya Mdaraka (Madaraka Day)inayotarajiwa kufanyika leo
mjini Nakuru nchini humo, Kulia ni Makamu wa Rais wa Kenya Mh. William
Ruto na Kushoto ni Gavana Mosess Watangula.
Rais wa
Jahuri ya Kenya Mh. Uhuru Kenyatta kulia akiongozana na Waziri Mkuu
Mstaafu wa Kenya Mh Raila Odinga wakati Waziri Mkuu huyo mstaafu
alipoalikwa katika Ikulu ya Nairobi kwa chakula cha mchana na
maadhimisho ya Madaraka Day yanayotarajiwa kufanyika leo mjini Nakuru,
Kushoto ni Gavana Mosess Watangula.
Rais wa
Jahuri ya Kenya Mh. Uhuru Kenyatta akipozi kwa picha na Waziri Mkuu
Mstaafu wa Kenya, Mh Raila Odinga wakati Waziri Mkuu huyo mstaafu
alipoalikwa katika Ikulu ya Nairobi kwa chakula cha mchana na
maadhimisho ya Madaraka (Madaraka Day) yanayotarajiwa kufanyika leo
mjini Nakuru, kulia ni Makamu wa Rais wa Kenya Mh. William Ruto na
Kushoto ni Gavana Mosess Watangula.(P.T)
Post a Comment