Video: Freeman Mbowe kazungumza baada ya Upinzania kutolewa tena Bungeni
Headline za Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na
Ufundi ilitangaza kuwafukuza jumla ya wanafunzi 7802 kutoka Chuo kikuu
cha Dodoma (UDOM) kufuatia mgomo wa Walimu unaoendelea hivi sasa
zimeendelea kuchukua nafasi Bungeni Dodoma.
Asubuhi ya May 30 2016 Baadhi ya Wabunge kutoka vyama tofauti walisimama Bungeni kuomba suala hilo kujadiliwa lakini ombi hilo halilikubalika mbele ya Naibu Spika Tulia Akson. Baada ya kipindi cha pili kurudi mjadala ukakataliwa kwa mara nyingine.
Nakukutanisha na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Freeman Mbowe akiongea na Waandishi wa habari.

Post a Comment