MAHADHI ATUA YANGA, ATAMBULISHWA PAMOJA NA KESSY TAIFA
Mkuu
wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Yanga, Jerry Muro akiwatambulisha
wachezaji wapya wa timu hiyo, kiungo Juma Mahadhi (kulia) kutoka Coastal
Union ya Tanga na beki Hassan Kessy (kushoto) kutoka Simba SC jioni ya
leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kabla ya fainali ya Kombe la
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Kombe la Azam Sports
Federation Cup (ASFC) kati ya timu hiyo na Azam FC

Post a Comment