Jengo lililoko eneo la Akiba Posta jijini Dar es Salaam limewaka moto kuanzia majira ya jana jioni na chanzo cha moto huo kinasemekana ni mtungi wa gesi kulipuka.Hakuna madhara makubwa yaliyotokea.
Post a Comment