BAYERN YASONGA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA KWA SARE DHIDI YA BENFICA
Katika mechi ya kwanza ikiwa nyumbani,
Bayern ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 ambalo limewabeba
kufuzu leo kwa kuwa mechi ilikuwa ngumu kwao huku Wareno hao wakiwa
vizuri zaidi.
Post a Comment