Majaliwa akutana na viongozi wa TFF
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa Tanzania
Footbal Federation (TFF) ofisini kwake jijini Dar es salaam Machi 21,
2016 Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa TFF, Selestine Mwesigwa, Rais wa
TFF, Jamal Malinzi, Mkurugenzi wa Ufundi Salum Madadi na Msaidizi wa
Rais wa TFF, Juma Matandika.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment