Gigy money: Nipo tayari kucheza picha za ngono
Video Queen na
msanii wa filamu Bongo, Gift Stanford ‘Gigy Money’


DAR ES SALAAM: Video Queen na
msanii wa filamu Bongo, Gift Stanford ‘Gigy Money’ ameweka wazi kuwa
yupo tayari kucheza picha za ngono endapo atapata mshiko wa maana.
Akistorisha na gazeti hili
wikiendi iliyopita, Gigy alisema kwa kuwa anatafuta fedha ya kubadili
maisha yake, anaweza kufanya tendo hilo kwa sababu anahitaji kuishi
kitajiri zaidi.
Aliendelea kusema kuwa amewahi kufuatwa
na watu mbalimbali kutoka Dubai wakimtaka kwenda kucheza filamu hizo,
lakini alikataa kutokana na fedha walizomtajia kuwa ni kidogo na hakuwa
tayari kwa muda huo.
“Yaani nikiambiwa napewa mamilioni
nicheze picha hizo nipo tayari maana hapa duniani wanaokula starehe
zaidi ni wale wenye fedha sasa nikipewa mamilioni ili nibadili maisha
yangu, niko tayari maana nitabadili maisha yangu na nitaishi kitajiri
hapo mpaka watu waje kunishtukia nitakuwa nimeshakula bata vya kutosha,”
alisema Gigy.
Gigy Money ni miongoni mwa ma-video Queen chipukizi wanaofanya vizuri katika video za wasanii wa muziki wa kizazi kipya.
CHANZO: GPL
Post a Comment