MOJA KWA MOJA (Live): Uchaguzi mkuu Uganda
07:09 Tuangalie tu takwimu muhimu kuhusu uchaguzi wa Uganda unaofanyika leo.
07:00 Vituo vya kupigia kura vimefunguliwa.
06:40 Wapiga kura wameanza kufika katika vituo vya kupigia kura. Hapa ni katika kituo cha Kalangala, katika kisiwa kilichoko katika Ziwa Victoria.
06:30 (Saa za Afrika Mashariki) Hujambo! Twatumai umeamka salama. Karibu kwa habari za moja kwa moja kuhusu uchaguzi mkuu wa Uganda.
Wapiga kura 15 milioni nchini Uganda leo wanafika vituoni kupigia kura viongozi wao, kinyang'anyiro cha urais kikivutia wagombea wanane.
| Takwimu muhimu | |
|---|---|
| Wagombea urais | 8 |
| Maeneo bunge | 290 |
| Vituo vya kupigia kura | 28,010 |
| Wapiga kura waliosajiliwa | 15,277,196 |

Post a Comment