Cheki picha za Amber na Black Chyna walivyosimamisha mitaa
Amber Rose na shosti wake, Blac Chyna wakiwa kwenye sherehe hiyo.
…Wakiwa mtaani.
WIKI hii wanamitindo na wacheza utupu, Amber Rose pamoja na shosti wake wa muda mrefu, Blac Chyna walisimamisha mitaa kwa muda huku watu wengi wakichukua muda wao kuwashangaa kwa jinsi walivyokuwa wamevaa.

Katukio
hako ‘amaizing’ kalijiri katika Visiwa vya Trinidad & Tobago ambapo
wawili hao walikuwa wamekwenda maalumu kwa tamasha kubwa la kimila za
huko.
Imeandaliwa na Andrew Carlos/GPL
Post a Comment