Ujenzi barabara ya Mwenge-Morocco Dar waendelea kwa kasi
Gari maalum la kusambaza kokoto likiwa kazini.
UJENZI wa barabara ya Mwenge-Moroco jijini
Dar ambao unaonekana kufanyika kwa kasi, hivi sasa baadhi ya maeneo
yameanza kuwekewa kokoto, tayari kwa kumwaga lami baada ya hatua za
mwanzo za kuchimba, kushindilia ardhi na kuweka kokoto kuonekana
zimekamilika.
(PICHA: DENIS MTIMA/GPL)
Post a Comment