Hii ni collabo yenye mchanganyiko wa fleva, mkali wa taarabu Mzee Yusuphkatudondoshea mdundo wake mpya ‘Mashallah‘ ndani ya wimbo yuko mrembo pia mwenye jina la uzito wake Bongoflevani, Vanessa Mdee.
Video yao imenifikia na unaweza kuicheki hapa mtu wangu.
Post a Comment