ad

ad

LeBron James Utajiri wampa ‘kichaa’ cha magari




KWENYE Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Marekani (NBA), kuna jamaa aitwaye LeBron James. Anakipiga katika Timu ya Cleveland Cavaliers ambayo imekuwa tishio kwa sababu ya mtu huyu.


 Hii inaonesha kuwa kweli jamaa anajua. Linapokuja suala la utajiri, James mwenye umri wa miaka 31, ni kijana mtafutaji ambaye mwaka jana aliongoza listi ya mastaa matajiri katika mchezo huo akiwa na utajiri wa dola milioni 300 (zaidi ya shilingi bilioni 600). Inaelezwa kwamba, utajiri huo umempa ‘ukichaa’ wa kumiliki magari ya bei mbaya kama ifuatavyo; Chevy-Impala1
LEBRON
-Dola 12,980 (zaidi ya Sh. milioni 28 za Kitanzania) Aventador1 –Dola 26,400 (zaidi ya Sh. milioni 57) Camaro-SS –Dola 27,990 (zaidi ya Sh. milioni 61) Dodge Challenger SRT –Dola 74,980 (zaidi ya Sh. milioni 164) Ferrari-F430-Spider –Dola 186,925 (zaidi ya Sh. milioni 408) HUMMER H2 -30,915 (zaidi ya Sh. milioni 67) Jeep-Wrangler – Dola 37,144 (zaidi ya Sh. milioni 81) Maybach 57 –Dola 366,934 (zaidi ya Sh. milioni 801) Mercedes-Benz – Dola 34,475 (zaidi ya Sh. milioni 75) Porsche 911-Turbo –Dola 182,095 (zaidi ya Sh. milioni 399)

No comments

Powered by Blogger.