Chadema washinda umeya Ilala leo
Meya wa Ilala, Charles Kuveko (Chadema) akiongea baada ya kushinda (aliyesimama wa pili kushoto).
Uchaguzi wa meya wa halmashauri wa Ilala jijini Dar es Salaam umefanyika leo ambapo Charles Kuveko (Chadema) ameshinda umeya Ilala kwa kura 31 na Naibu Meya ni Omary Kumbilyamoto (CUF), kura 31. Madiwani wa Chama cha Mapinduzi (CCM) hawakupiga kura kutokana na madiwani kutoka Zanzibar kukataliwa kuingia ukumbini kupiga kura.
(PICHA: DEOGRATIOUS MONGERA/GPL)

Post a Comment