TAZARA yapokea mabehewa 18 na vichwa 4 kutoka Serikali ya Watu wa China
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaabani Mwinjaka akipanda kwenye moja
ya vichwa 4 vya treni ya Tazara vilivyotolewa na Serikali ya China.
Mwakilishi wa Balozi wa China nchini Tanzania Dkt. Lu Youqing akizungumza kabla ya makabidhiano.
Balozi wa Zambia nchini Tanzania Judith Kapijimpanga akizungumzia umuhimu wa reli ya TAZARA kwa Tanzania na Zambia.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaabani Mwinjaka akizungumzia mustakbali wa TAZAMA katika kujenga uchumi wa Tanzania.
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Reli la Tanzania na Zambia (TAZARA) Ronald Phiri, akitia saini mkataba wa makabidhiano.
Makamu wa Rais wa CCECC kutoka Serikali ya Watu wa China Lin Zhiyong akisaini makabidhiano.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Mamlaka ya Reli la Tanzania na Zambia (TAZARA) Ronald Phiri
akibadilishan hati za makabidhiano ya mabehewa 18 na vichwa 4 vya treni
na Makamu wa Rais wa CCECC kutoka Serikali ya Watu wa China Lin
Zhiyong.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaabani Mwinjaka (katikati) akikata
utepe pamoja na Balozi wa Zambia nchini Tanzania Judith Kapijimpanga
(kushoto) na Mwakilishi wa Balozi wa China nchini Tanzania, wakikata
utepe kuashiria kukabidhiwa kwa kwa mabehewa 18 na vichwa 4 kutoka
Serikali ya China.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaabani Mwinjaka na Balozi wa Zambia
nchini Tanzania Judith Kapijimpanga, wakielekea kupanda kwenye treni ya
kichwa na mabehewa mapya ya TAZARA.
Moja ya mabehewa mapya.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaabani Mwinjaka na Balozi wa Zambia
nchini Tanzania Judith Kapijimpanga, wakiteremka kutoka kwenye moja ya
behewa jipya baada ya kusafiri nalo kwa dakika kumi kufanyia majaribio.
Moja ya kichwa kipya na mabahewa 18 mapya yaliyokabidhiwa kwa TAZARA.
Picha ya pamoja baada ya makabidhiano.
Baadhi
ya maafisa kutoka Serikali ya Watu wa China na wafanyakazi wa Mamlaka
ya Reli la Tanzania na Zambia (TAZARA), wakishuhudia utiaji saini wa
makabidhiano ya mabehewa 18 na vichwa 4 kutoka Serikali ya Watu wa
China.
Picha na Hussein Makame-MAELEZO
Post a Comment