Rais Magufuli awaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri Ikulu Dar, leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha waziri wa Nishati
na Madini, Profesa Sospeter Mhongo katika hafla fupi ya kuwaapisha
Mawaziri na Manaibu Waziri, leo katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimuapisha waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii na Jinsia, wazee na
watoto, Ummy Mwalimu katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu
Waziri , leo katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimuapisha waziri wa Katiba na Sheria, Harrison Mwakyembe katika hafla
fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri, leo katika ukumbi wa
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimuapisha Naibu waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Ashantu Kijaji katika
hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri, leo katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimuapisha Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Lameck Nchemba
katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri, leo katika
ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimwapisha waziri wa Sera, Bunge, Kazi ,Vijana,Ajira na Walemavu, Dkt.
Abdallah Possi katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri, na manaibu
Waziri leo katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.

Post a Comment