Kidoa, Farid Uwezo wabambwa kimalovee
Video Queen mwenye mvuto wa aina yake, Asha Salumu ‘Kidoa’.
Na Hamida Hassan
KABANG! Muuza nyago kwenye video za wasanii wa Bongo Fleva, Asha Salum ‘Kidoa’ na msanii wa sinema za Kibongo, Farid Uwezo wamebambwa live wakiwa kimalovee kwenye Viwanja vya Leaders, Kinondoni jijini Dar.
Wawili hao walikuwa wakilishana matunda aina ya strawberry, walipoulizwa kulikoni walidai ni marafi kitu hakuna kinachoendelea kati yao.
Msanii wa sinema za Kibongo, Farid Uwezo.

Post a Comment