ad

ad

JODIE WA ‘KUCHI KUCHI’ MJAMZITO?

Lagos, Nigeria
STAA wa Ngoma ya Kuchi Kuchi, Jodie huenda mjamzito wa miezi nane kutokana na tumbo lake kuonekana kubwa kwa kipindi cha hivi karibuni.
Katika kusherehekea ndoa yake ya kimila na mumewe ambaye pia ni meneja wake, David Nnaji iliyofanyika hivi karibuni, Jodie alionekana muda wote ni mtu wa kuchoka huku tumbo lake likionesha wazi kuwa anakaribia kujifungua.
Powered by Blogger.