Breaking news: Hatimaye Chadema washinda kesi ya Mawazo...
Alphonce Mawazo enzi za uhai wake.
HATIMAYE Mahakama Kuu jijini Mwanza imetoa hukumu ambapo Chadema na
familia ya Mwenyekiti wa Chadema mkoani, Geita Alphonce Mawazo
wameshinda kesi hivyo wameruhusiwa kuendelea na taratibu za kuaga mwili
wa marehemu na kuzika, pia Polisi watoe ulinzi kama ilivyo wajibu wao
kwa kuzingatia mipaka ya kazi yao.
Post a Comment