Aunt: sihitaji pedeshee, dansa wangu anatosha
MAKUBWA! Staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel
amefunguka kuwa wapo watu wanamcheka kuwa na uhusiano wa kimapenzi na
dansa (Moze Iyobo) lakini ni bora aendelee kuwa naye kuliko kuwa na
uhusiano na mtu mwenye pesa za kugawa hovyo (pedeshee) asiyekuwa na
mapenzi ya dhati.
“Acha niendelee kuwa na dansa wangu kuliko kuwa na pedeshee ambaye hana mapenzi ya dhati kwangu akaenda kuniumiza na nisione raha ya penzi, kwa Moo (Iyobo) nafurahia mapenzi na wala siyo pesa kwani hata njaa tunaweza kulala,” alisema Aunt.
CHANZO: GPL
Staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel akiwa na mpenzi wake Moze Iyobo.
Akizungumza na Amani, Aunt alisema kuwa aangalii hela hata kama
wakilala njaa lakini kama kuna mapenzi ya kweli inatosha kabisa kuliko
kuwa kwenye hela akaumizwa na kunyanyaswa.“Acha niendelee kuwa na dansa wangu kuliko kuwa na pedeshee ambaye hana mapenzi ya dhati kwangu akaenda kuniumiza na nisione raha ya penzi, kwa Moo (Iyobo) nafurahia mapenzi na wala siyo pesa kwani hata njaa tunaweza kulala,” alisema Aunt.
CHANZO: GPL

Post a Comment