ad

ad

Walichokisema Edward Lowassa na Dk. John Magufuli baada ya kupiga Kura



Tanzania inaandika Historia kubwa kwa mara nyingine leo October 25 2015 ambapo watu wote walioandikishwa na kuthibitishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC wanaendelea kupiga Kura katika maeneo mbalimbali.
Baadhi ya Vituo vya Television ikiwemo Azam TV na ITV vinarusha matukio yote makubwa Live wakati wote, nimefanikiwa kupata picha za baadhi ya Wagombea wa Urais Tanzania walivyoshuhudiwa wakipiga Kura.
HAPA NAANZA NA PICHA ZA EDWARD LOWASSA, MGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CHADEMA NA VYAMA VYA UKAWA.
2X6A0417
Edward Ngoyai Lowassa aliongozana na Mama Regina Lowassa kupiga Kura nyumbani kwao Jimbo la Monduli, Arusha.
2X6A0440
Mama Regina Lowassa akiweka karatasi ya Kura kwenye sanduku.

2X6A0444
Mgombea Urais kupitia CHADEMA na Umoja wa Vyama vya UKAWA, Edward Lowassa.
Hii hapa nukuu ya alichokisema Mgombea Edward Lowassa baada ya kumaliza Kupiga Kura >>> “Naona utaratibu ni mzuri, maelekezo yanatolewa vizuri… mpaka sasa naona kazi ni nzuri… kama Uchaguzi utaendeshwa kwa haki na usawa nitakubali Matokeo, kama kutakuwa na matatizo makubwa sitakubali matokeo.. nategemea sana ushindi, sitegemei kinyume na hapo“
2X6A0449
.
HAPA NI PICHA ZA DK. JOHN P. MAGUFULI, MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM
2X6A0466
Hapa ni Mgombea Urais kupitia CCM, Dk. John Pombe Joseph Magufuli.. yeye amepiga Kura nyumbani kwao Jimbo la Chato pia, Mwanza.
2X6A0470
.
2X6A0487
2X6A0495
Add caption
2X6A0480
Powered by Blogger.