Mh. Lowassa aitaka NEC kufanya shuguli zake bila kupendelea upanda wowote
Mgombea
wa nafasi ya urais kwa tiketi ya Chadema, anayeungwa mkono na vyama
vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi UKAWA, Edward Lowassa ameitaka
tume ya uchaguzi kuhakikisha inafanya shughuli zake kimamilifu na bila
kupendelea upande wowote kwani kushindwa kufanya hivyo ni kuliingiza
taifa kwenye machafuko.
Mgombea huyo wa nafasi ya urais Edward Lowassa ametoa onyo hilo
kali kwa tume ya uchaguzi nchini katika siku yake ya mwisho ya kampeni
kanda ya ziwa.
Nauli za vivuko kwa wakazi wa kanda ya Ziwa imekuwa changamoto kubwa, nini kauli ya Edwrad Lowassa,
Wakati siku za kuelekea Oct 25 zikizidi kuhesabika kwa haraka zaidi, Freeman Mbowe ni mwenyekiti wa Chadema taifa.
Uchaguzi wa Tanzania unatazamwa na dunia kwa jicho la tatu kwasasa,
Viongozi wa umoja wa katiba ya wananchi UKAWA wakiongozwa na
mgombea nafasi ya urais Edward Lowasa wametuma salama za rambi rambi kwa
familia Dkt Emanuel Makaidi aliyefariki dunia.

Post a Comment