Name:  CPqOCe9VAAA93GV.jpg
Views: 2947
Size:  32.1 KB



Mbatia: Taarifa ya Twaweza imeidhalilisha CCM na Twaweza yenyewe!

Mbatia: Twaweza imejidhalilisha kwa kubagua wagombea Urais wa vyama vingine mbali na CCM na CHADEMA!

Mbatia: Twaweza haifahamu hata idadi ya wagombea ubunge wala udiwani

Mbatia: utafiti wa Twaweza imetoa ripoti inayokinzana angalia ukurasa wa 7, huu ni utafiti wa uongo!

Mbatia: katika taarifa ya Twaweza haijaweza kuhakiki taarifa yake kitakwimu!

Mbatia: CCM imekubaliana na idadi ya watu walioshiriki utafiti wa Twaweza kwa kigezo cha idadi ya watu 1848!

Mbatia: CCM ilikataa kukubali maoni ya wananchi zaidi ya laki 3 kwenye rasimu ya Katiba ya Warioba, lakini leo wamekubali 1848

Mbatia: Taarifa ya Twaweza inalidhalilisha Taifa letu mbele ya dunia

Mbatia: kama taarifa ya Twaweza ingetolewa kabla ya Uchaguzi Mkuu ingevisaidia vyama.

Mbatia: simu za mkononi na chaja zilizogawiwa ilikuwa ni rushwa iliyotolewa na Twaweza kwa washiriki wa utafiti wao!

Mbatia: Twaweza imebatiza tafsiri ya UKAWA kuwa ni Walinzi wa Katiba ya Wananchi. Soma taarifa yao utaona ndivyo walivyoandika!

Mbatia: Twaweza wanajua CUF, NCCR-Mageuzi, na NLD hawajatoa Mgombea wao wa Urais isipokuwa CHADEMA, ila wameweka swali hilo

Mbatia: kwa kuwa Twaweza ni taasisi inayothamini midahalo, tunawaalika kwenye midahalo wa kuitetea taarifa ya utafiti wao

Mbatia: tunawaomba wapiga kura wote wasiitilie maanani taarifa hii ya Twaweza

Mbatia: hakuna taasisi yoyote iliyoleta mwaliko kwa Mgombea wetu Edward Lowassa kushiriki midahalo mpaka sasa!

Mbatia:Utafiti wa ndani wa UKAWA uliofanywa na watafiti huru kutoka nje ya nchi zinaonesha Edward Lowassa atapata asilimia 74 ya kura zote

Mbatia: utafiti wetu wa ndani uliofanywa na wataalamu kutoka nje ya nchi umeonesha Edward Lowassa atapata kura 74%

Prof. Baregu amezungumzia 'contamination of data' ya utafiti wa Twaweza

Prof.Baregu anazungumzia decay of data katika utafiti wa Twaweza

Prof.Baregu utafiti huu wa Twaweza sio wa kwanza. Mara ya kwanza utafiti wao wakati Edward Lowassa akiwa CCM ilionesha anaongoza

Prof.Baregu:Kama Dr.Slaa alizidiwa kura na Edward Lowassa miezi michache iliyopita, imekuwa leo
Edward Lowassa azidiwe kura na Magufuli?

Prof.Baregu: Sampuli ya data za utafiti wa Twaweza imechafuliwa kwa makusudi ili kupotosha Watanzania.

Prof.Baregu: Mtafiti kutoka Oxford University niliyeongea naye aliona kuwa UKAWA inaweza kushinda ila sio kwa gap kubwa.