RONALDO SASA AAMUA KUGEUKIA UIGIZAJI WA FILAMU, MUVI YAKE MPYA KUTOKA NOVEMBA
Mshambuliaji nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ameamua kuingia katika uigizaji wa filamu.
Filamu hiyo inatarajia kuingia mtaani rasmi Novemba, mwaka huu ikielezea mambo mbalimbali kuhusiana na maisha yake.
Filamu hiyo inayoitwa Ronaldo, imetengenezwa kwa miezi 14 ikifuatilia mambo mbalimbali ya Ronaldo akiiwezeisha Real Madrid kubeba ubingwa wa Ulaya.
DAILY MAIL

Post a Comment