ad

ad

Dk. Bilal, Pinda waongoza mamia katika maziko ya Waziri Kombani Moro

KOMBANI KUAGWA (1)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitoa heshima zake za mwisho mbele ya mwili wa Waziri Celina Kombani katika Uwanja wa Jamhuri, mkoani Morogoro.
KOMBANI KUAGWA (2)
Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete akiaga mwili wa Waziri Kombani leo.
KOMBANI KUAGWA (3)
Spika wa Bunge, Mhe. Anne Makinda akitoa heshima zake mbele ya jeneza lenye mwili wa Waziri Celina Kombani.
KOMBANI KUAGWA (4)
IGP Mstaafu, Omar Mahita naye akitoa heshima zake za mwisho.

KOMBANI KUAGWA (7)
Baadhi ya wasanii wakitoa heshima zao za mwisho.

Makamu wa Rais, Dk. Gharib Bilal na Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda leo wameongoza mamia ya waombolezaji katika maziko ya aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani yaliyofanyika kwenye shamba lake lililopo Lukombe nje kidogo ya Mji wa Morogoro.
Powered by Blogger.