ad

ad

Breaking News: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani amefariki dunia India

#‎TANZIA‬ Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu huko nchini India.
Mungua ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi
Powered by Blogger.